Download | Nyota Ndogo Watu Na Viatu | Mp3 Audio

nyota ndogo watu na viatu

Nyota Ndogo Watu Na Viatu

RELATED: Nyota Ndogo ft Nonini Nibebe

 Watu Na Viatu Noted Lyrics:

Rafiki yangu, mpendwa
naja kwako, siku nyingi
wanipokea, kwa uzuri
siku zote
wakati sina, wanipa
nitakacho, husiti
nisemacho, wako sawa waniombea Mungu

moyoni mwangu, najua
nina rafiki, huyu wa kweli
hakuna yule, ambaye
atakuja, kati yetu
wakati sina, wanipa
nitakacho, husiti
nisemacho, wako sawa waniombea Mungu

 

DOWNLOAD mp3

Other Related Songs: