Download | Nyota Ndogo ft Nonini Nibebe | Mp3 Audio

nyota ndogo ft nonini nibebe

Download | Nyota Ndogo ft Nonini Nibebe | Audio

RELATED: Nyota Ndogo – Watu Na Viatu

Nyota Ndogo Nibebe Noted Lyrics:

Nakupenda sana sitoficha
Kama kukupenda ni makosa
Sitaki kuwa sawa duniani
Kwani nakupenda sio siri
Wengi wakiyaona kwa macho
Machozi yatoka kila siku

Sitochoka mimi kukupenda
Watakaosema na waseme
Wengi wakiyaona kwa macho
Machozi yatoka kila siku
Sitochoka mimi kukupenda
Watakaosema na wasemee
Wameze wembe

Nibebe nami nikuonyeshe penzi
Nakukupa
Ili
Usiende

Nyota Ndogo ft Nonini Nibebe

Other Related Songs: