Nyota Ndogo Watu Na Viatu
RELATED: Nyota Ndogo ft Nonini Nibebe
 Watu Na Viatu Noted Lyrics:
Rafiki yangu, mpendwa
naja kwako, siku nyingi
wanipokea, kwa uzuri
siku zote
wakati sina, wanipa
nitakacho, husiti
nisemacho, wako sawa waniombea Mungumoyoni mwangu, najua
nina rafiki, huyu wa kweli
hakuna yule, ambaye
atakuja, kati yetu
wakati sina, wanipa
nitakacho, husiti
nisemacho, wako sawa waniombea Mungu