Hussein Machozi Addicted
RELATED: Hussein Machozi Jela
Hussein Addicted Lyrics
I’m i’m addicted
Haya mapenzi, yangekuwa kwenye wali
Nisingeula
Ningeuacha ulale, ukiamka umechacha
Niumwage kabisa
Haya mapenzi, yangekuwa kwenye wali
Nisingeula
Ningeuacha ulale, ukiamka umechacha
Niumwage kabisa
Ila yapo kwako, kipenzi
Ndo maana nakonda (I’m addicted)