Hussein Machozi Kwa ajili Yako
RELATED: Hussein Machozi Addicted
Hussein Machozi Kwa ajili Yako Lyrics
Najua hiki ndo kipindi ukipendacho (Ukipendacho)
Najua sasa hivi upo karibu na radio (Radio)
Labda peke yako au na rafiki zako (Rafiki zako)
Naomba kidogo ongeza sauti ya radio
Nachukua nafasi kuongea nawe kwa wimbo (uh, uu, uuh)
Nimetunga special kwa ajili yako mrembo (uh, uu, uuh)
Mtangazaji kati ya wimbo usiweke jingle (uh, uu, uuh)
Nimetunga rasmii kwa mtu alie single (uh, aliye single uuh)