Diamond Platnumz Moyo Wangu

Moyo Wangu

Diamond Platnumz Moyo Wangu

Related Song: Diamond Platnumz – Nataka Kulewa

Diamond Platnumz Moyo Wangu Lyrics:

Masikini roho yangu (roho yangu) ingelikuwa ni nguo ningempa avae
Kila kona akipita wamsifie ila lakini ni kikwazo
Masikini penzi langu Gina lishakata na kauli roho inatoka kesho
Kutwa nzima mara eeh mara iih hata najuta kupendaaa

Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee
Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmee
Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee

DOWNLOAD Mp3

More From Diamond platnumz: