Diamond Platnumz Utanipenda
It’s a new day and we are happy to bring you a brand new hit song titled Utanipenda from Tanzanian Super Star Diamond Platnumz a.k.a Simba.
Related Song: Papa Wemba Ft Diamond Platnumz – Chacun Pour Soi
Diamond Platnumz Utanipenda Lyrics:
Tanta lala la
Ooh la la la la la
Mmh
Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale
Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale
Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree
Umeneja umebaki jina
Hanitaki hata Tale
Oooh wale shabiki zangu
Walionisifu kwa maneno matamu
Leo maadui zangu
Ni mitusi tu kwa instagram
Kimwanaa si dada angu
Eti nae hanifahamu
Hata Harmonize nikimpigia
Ananifokea kama Sallam