Download | Bob Rudala Nimekuchagua Wewe | Audio

bob rudala nimekuchagua wewe

Bob Rudala Nimekuchagua Wewe

RELATED: Bob Haisa – Nisamehe

Bob Rudala Nimekuchagua Wewe Lyrics:

Nimekuchagua wewe uwe wangu
nisafari ndefu ya mwanadamu ya maisha na mapenzi
iwe mke au mme mara moja kubahatika
maishani mwako kumpata mtu flani ambae huwa ni maalumu kwako
kipenzi cha moyo wako,

kwa kiasi kikubwa nimetambua na kuamini
yakua kukutana kwetu ni mwanzo wa kutimia
kwa ile ndoto yangu ya siku nyingi
kwani pendo letu linakua kulingana na wakati,
kila Siku maishani mwangu nilikua na ndoto
ya kumpata wangu mwenzi tufunge nae pingu za maisha.

nimekuchagua wewe uwe wangu, wangu wa maisha wa kufa na kuzikana,
usijari mangi maneno watu wasemayo
yaliyopita sindwele tugange yanayo kuja.
nakupenda wee ewe eee malaika wa moyo Wangu.
nakuhusudu we ewe we ee ua la Moyo wangu
l love you “

“Listen to Bob Rudala Nimekuchagua Wewe”

DOWNLOAD MP3

Related Songs: