Download | Bob Haisa Nisamehe | Mp3 Audio

bob haisa nisamehe

Bob Haisa Nisamehe

RELATED: Bizman – Nipe Muda

Nisamehe Noted Lyrics:

Mpenzi wangu napiga goti mbele yako ,mikono yangu nashika miguuni mwako
nakuomba fungua msamaha wako ,kwangu mimi kiumbe dhaifu mwenzako
ninajua itakuwa ngumu kwako , kuyasahau yote nilotenda kwako
ninajua itakuwa ngumu Kwako , Kuyasahau mabaya nilotenda Kwako

Kumbuka yakuwa Mungu husamehe , hata wewe inakubidi unisamehe
Kumbuka yakuwa Mungu husamehe , Na hata wewe inakubidi unisamehe
Hakuna binadamu mpenzi aloumbwa akakamilika, Hakuna binadamu baby asiyetenda makosa.

 

DOWNLOAD Mp3

Related Songs: