Download | Donald Evod Kifwapili – Nikupe Nini | Audio
Mwimbaji wa Nyimbo za Injiri Donald Evod Kifwapili ameachia wimbo wake mpya ujulikanao kama “Nikupe Nini”
Wimbo upo Kwenye Album yake ya “Uliniita Bwana” nami nakualika kuusikiliza au kuupakua hapa chini.