Diamond Platnumz Ntampata Wapi

diamond platnumz ntampata wapi

Diamond Platnumz Ntampata Wapi

WCB Wasafi serial hit sing maker, Boss Diamond Platnumz a.k.a Simba, came through will a new banger titled Ntampata Wapi.

Related Song: Diamond Platnumz – Mapenzi Basi

Diamond Platnumz Ntampata Wapi Lyrics: 

Sura yake mtaratibu
Mwenye macho ya aibu
Kumsahau najaribu
Ila namkumbuka sana
Umbo lake mahbibu
Kwenye maradhi alionitibu

Siri yangu, ukarimu
Bado namkumbuka sana
Alionifanya silali (eh) jua kali (eh)
Nitafute tukale
Lakini hata hakujali, darling
Akatekwa na wale

DOWNLOAD MP3

Another Related Songs: