Wimbo Mpya Wa Roma – Nipeni Maua Yangu
Msanii wa muziki wa kizazi Kipya Kutoka Tanzania ajulikanaye Kama Roma Mkatoliki Ameachia Wimbo mpya Alioupa jina la “Nipeni Maua Yangu”
Kwa Nyimbo Zingine Mpya Unaweza KuPakua APP yetu Hapo Chini Ili Uwe unapata Taarifa Nyimbo Mpya Zikitufikia.