Vyakula Hatari Kwa Vidonda Vya Tumbo

Vyakula Hatari Kwa Vidonda Vya Tumbo

Vyakula Hatari Kwa Vidonda Vya Tumbo

Aina Za Vidonda Vya Tumbo:

Vidonda vya tumbo vimegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni;

1) Vidonda Vya Tumbo Kubwa.
Hivi ni vidonda ambavyo tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa (stomach).

Vidonda hivi vya tumbo hujulikana kwa kitaalamu kama Gastric ulcers.

Peptic ulcers

2) Vidonda Vya Utumbo Mdogo.
Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye sehemu ya juu ya utumbo mdogo inayoitwa duodenum.

Vidonda hivi vya tumbo hujulikana kwa kitaalamu kama Duodenal ulcers.

Duodenal ulcers

Inayofanana: Dawa Za Asili Za Vidonda Vya Tumbo Sugu

Vitu Vya Kuepuka Kwa Mwenye Vidonda Vya Tumbo

 • Epuka Chumvi nyingi kwenye mlo
 • Epuka Mafuta mengi kwenye mlo
 • Epuka kula Nyama nyekundu (Ng`ombe, Mbuzi , Kondoo n.k)
 • Epuka matumizi ya Tangawizi , pilipili manga
 • Epuka kula Nanasi ,Fenesi
 • Epuka kunywa Maziwa
 • Epuka kula Machungwa , Limao ndimu
 • Epuka kula Maharage na vyakula vyote unapokula tumbo linajaa gesi viepuke .
 • Epuka Kutafuna gum, (Big G bablish,ballgum, pk n.k)
 • Epuka ugali wa sembe)

Vitu Vya Kuacha Kabisa Kwa Vidonda Vya Tumbo

 1. Acha kunywa Pombe
 2. Acha Kunywa Soda (Carbonated beverages)
 3. Acha kuvuta Sigara
 4. Acha kula miraa

#Vyakula Hatari Kwa Vidonda Vya Tumbo #Vyakula Hatari Kwa Vidonda Vya Tumbo #Vyakula Hatari Kwa Vidonda Vya Tumbo