Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024

Kidato cha Tano na Vyuo 2024

Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024

Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano 2024/2025 kwa waliofaulu mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE 2024).

RELATED: CSEE 2025/2026 Results (Matokeo ya Kidato cha Nne)

Angalia majina kupitia tovuti rasmi ya TAMISEMI kwa kuchagua “Form Five Selection 2024” kisha tafuta shule au jina lako.

Hakikisha unaripoti kwa muda uliopangwa na kufuata maelekezo ya shule husika. Kama hukuchaguliwa, subiri awamu ya pili (Second Selection).

Share this post: