Waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo 2024
Wahitimu 188,787 kati ya 197,426 waliofaulu mitihani ya kidato cha nne, wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano pamoja na vyuo mbalimbali kwa mwaka 2024.
TAZAMA HAPA
ARUSHA | DAR ES SALAAM | DODOMA |
GEITA | IRINGA | KAGERA |
KATAVI | KIGOMA | KILIMANJARO |
LINDI | MANYARA | MARA |
MBEYA | MOROGORO | MTWARA |
MWANZA | NJOMBE | PWANI |
RUKWA | RUVUMA | SHINYANGA |
SIMIYU | SINGIDA | SONGWE |
TABORA | TANGA |
 ZINGATIA: Muhula wa Kwanza ni Julai 1 Mwaka 2024 kwa waliochaguliwa kidato cha tano 2024 , Na kwa waliochaguliwa kwenda Vyuo, Watapewa Maelekezo Maalumu ya namna ya Kujiunga Na Vyuo Hivyo.