Stamina ASIWAZE
Stamina Ft Atan – Tanzanian Hip Hop recording artist and a key member of Rostam group, Stamina came through with another single titled Asiwaze.
RELATED: Stamina Ft Maua Sama – Nalewa Leo
Welcome back, It’s a brand new day and we are happy to bring you a brand new hit song.
Stamina ASIWAZE Lyrics
Aaah unaposkia neno ndoa(Ndoa)ujue noma
Kabla kuongea chochote
Naomba kwanza kusonya(Msschew…)
Sijali nishauri nani aisee ok twendeAliyenifundisha mapenzi
Hakuniambia kuhusu kuoa
Alinionyesha staili za tendo
Ila sio maisha ya ndoaAliyesema ndoa ndoano
Hivi huyu mjinga ni nani?
Kafanya nivue samaki
Kwenye bahari yenye tsunamiNikiziona picha za harusi
Najiskia vibaya
Namuonea huruma padri