Rapcha Lissa
RELATED: Rapcha – Lissa 2
Rapcha Lissa Lyrics:
Saa sita ya mchana jua la utosi
Chuo bumu limetema nimekaa kibosi hata presha ya msosi sina
“Somebody is calling” oh kumbe Lissa
Nimem-save, “Love of my life”
Nikaweka na loudspeaker nikamsikia anaongea ka’ analia
Nikamuuliza, “Are you okay Monalisa”
Akaniambia, “Baby siko sawa kabisa, nadaiwa ada
Na jumatatu ndio tunaanza paper yanii
Na nisipolipa siruhusiwi kufanya mitihani
Laki tano nzima ntaitowa wapi honey?”
More Related Songs From Rapcha:
- Rapcha Ft Femi One & King Kaka – Unaua Vibe Remix
- B O B ft Belle 9, Billnass, Rapcha – X
- Rapcha Ft. Young Lunya x Dwin (Mangi) – Unaua Vibe
- Rapcha Ft Lady JayDee – Amen
- Rapcha ft Mapanch BmB – Wanangu