Rapcha Lissa
RELATED: Rapcha – Lissa 2
Rapcha Lissa Lyrics:
Saa sita ya mchana jua la utosi
Chuo bumu limetema nimekaa kibosi hata presha ya msosi sina
“Somebody is calling” oh kumbe Lissa
Nimem-save, “Love of my life”
Nikaweka na loudspeaker nikamsikia anaongea ka’ analia
Nikamuuliza, “Are you okay Monalisa”
Akaniambia, “Baby siko sawa kabisa, nadaiwa ada
Na jumatatu ndio tunaanza paper yanii
Na nisipolipa siruhusiwi kufanya mitihani
Laki tano nzima ntaitowa wapi honey?”