Download | Patricia Hillary – Mapenzi Yananitatiza | Audio

taarab patricia hillary mapenzi yananitatiza

Taarab Patricia Hillary Mapenzi Yananitatiza

Related Song: Patricia Hillary – Njiwa Peleka Salamu

Patricia Hillary Yananitatiza

Jamani mapenzi, yananitatiza,
Kulala siwezi, kusema siwezi
Chakula sitaki, nakiiona sumu,
Mapenzi yamenivaa, nami ugenini

Akili imenipaa,
Hata njia siioni, Mapenzi
Yana hadaa, ya kweli nawambieni

DOWNLOAD Mp3

Other Related songs: