Neyba Uje
Welcome back, It’s a brand new day and we are happy to bring you a brand new hit song titled Uje mp3 Download by Neyba . Enjoy!
Related Song: Neyba – Akuchi Kunakucha
Neyba Uje Lyrics:
Penzi ni zaidi ya kisu kikali,
Ee Usinichome Kumoyo
Penzi ni zaidi ya kisu kikali,
Ee Usinichome Kumoyo Kumoyo (Uje Uje)
hata kama sina gari (Uje uje)
tutapanda baiskeli (Uje Uje)
Kwani Kupata ni zali (Uje Uje)
Ukikosa usijari (Uje Uje)