Nay Wa Mitego Mwanamke Hapigwi
Download | Nay Wa Mitego Mwanamke Hapigwi | Mp3 Audio
Related: Nay Wa Mitego Tumerogwa
Mwanamke Hapigwi
Wanaume fiki hao wanawatesa mademu
Sio malijali hao wanawapiga wanawake
mwanamke ateswi bwana weeee
mwanamke apigwi bwana weeee
Anatulizwa kwa mapenzi
Hata kwenye vitabu vya dini
Imeandikwa mwanamke ni dhaifu sana
Unapompiga na kumdharirisha
Unakosea bwanaaaa