Lava Lava Kizunguzungu

lava lava kizunguzungu

Lava Lava Kizunguzungu

Lava Lava has brought to us his new song titled as Kizunguzungu, produced by Lizer Classic in Wasafi Records.

RELATED: Lava Lava – Tattoo

Lava lava Kizunguzungu Lyrics:

Kwenye simu zimebaki picha na msg zako
Huwa napitapita kwenye page zako
Nasomaga sikufichi bado nina namba yako
Mwenzako namiss viemoji vya kopa kopa na vya kufumba macho
Huwa nakuona tu online unachat huishiwi bando n
Nitext tu niwe fine ziniondoke fikira mgando
Kwenye magroup ya whatsapp wee ndo bingwa wa

Story tena kujibu upo sharp si wa nyuma nyuma toroli
Na ushapewa uadmin mset mipango.

DOWNLOAD MP3

Related from Lava Lava: