Kumpeneka Doctor Wangu
Related Song: Bob Rudala – Nimekuchagua Wewe
Doctor Wangu Lyrics:
Wewe Ndiye doctor wangu utakayetibu maradhi yangu ya mapeeenziii
Njoo unipe Raha za dunia mimi sina pa kukimbilia zaidi ya mpeeeenzii
Njoo unipe raha za dunia mimi sina pa kukimbila.