Download | Kidum Ft Lady Jaydee Nitafanya | Mp3 Audio

Kidum Ft Lady Jaydee Nitafanya

Download | Kidum Ft Lady Jaydee Nitafanya | Mp3 Audio

RELATED: Kidum Ft Juliana Kanyomozi – Haturudi Nyuma

Noted Lyrics:

Vipi umeamua kunitoroka,
Ikiwa unahisi kwamba hujisikii nami tena,
Na mbona umekuwa mgumu kunidokeza,
Naona ni bora nilie leo badala ya kesho,
Kupenda usipendwe,
Ni kama kujitia kitanzi,

Nitachimba na sururu,
Kwa ardhi nikitafuta penzi lako,
Ni heri lipi kwa fimbo kwa mwili,
Sabab ntajikuna ama ntajikanda kwa maji moto,

Kidum Ft Lady Jaydee Nitafanya