Download | Kevin Cash ft Jaivah – Teketeza | Mp3 Audio

kevin cash ft jaivah teketeza

Kevin Cash ft Jaivah Teketeza

Msanii wa kizazi kipya Kevin Peter Stanley maarufu kama Kevin Cash ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la #teketeza akiwa amemshirikisha Jaiva

‎Wimbo huo wenye maadhi ya Amapino umetayarishwa na Kapipo huku mtayarishaji mkubwa wa Muziki Nchini Tanzania Lizer Classic akihusika kuchanganya na kuweka ustadi wa sauti kwenye wimbo huo

RELATED: Jaivah X Chino Kidd – Assalamu Alaykum

‎Teketeza inakuja wakati huu ambao IAMKEVINCASH anaendelea kutamba na wimbo wake wa Fire Burn wenye maadhi ya R&B na Afrobeat ukiwa na zaidi ya watazamaji 25,000 kwenye mtandao wa YouTube

‎Tangu kuingia rasmi kwenye Muziki mwaka 2024 , IAMKEVINCASH amefanikiwa kuachia nyimbo sita mpaka sasa ambazo ni Lolo,Pesa,Koko,Khululek,Fire burn na Teketeza huku pia akifanikiwa kupata collabo na Wasanii wakubwa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania

Kevin Cash Teketeza

‎Umahili wake kwenye kufanya aina mbalimbali za Muziki umemfanya IAMKEVINCASH kuwa kipenzi cha Vijana wengi ambao ni mashabiki wa Muziki, hili linathibitishwa na mapokezi makubwa yaliyopo kwenye kazi zake sambamba na mapokezi anayoyapata kwenye majukwaa mbalimbali ya Muziki kama Chuo Kwa Chuo Tamasha linaloandaliwa na Msanii Billnass.


‎DOWNLOAD

More Recommended:

Share this post: