Download | Kayumba Tuongee | Mp3 Audio

kayumba tuonge

Download | Kayumba Tuongee | Mp3 Audio

Related: Kayumba Kosa Langu

Tuongee Lyrics

Kugomba si suluhisho muhimu tuongee
Kuna leo na kesho chuki usiijengee
Umenipa mzigo mzito nashindwa kubeba unanilemea
Naambulia mateso sjui lini nafsi itatulia

ooh baby tuongee tuongee tuongee
tofauti tumalize minawee minawee
ooh baby tuongee tuongee tuongee
tofauti tumalize minawee minawee

Kayumba Tuongee

Related KAYUMBA Songs