Download | Kayumba Msela | Mp3 Audio

kayumba msela

Download | Kayumba Msela | Mp3 Audio

Related: Kayumba Baishoo

Msela Lyrics

Moyo weka jiwe kipenzi nivumilie
nitapata vichenji tutumie eeeh
life yangu kabwela hivo hivo kisela
tukipata twala heee

We rizika na msela usije niacha bachelour
peke yangu nitaumia roho aheee
Nipe utamu wa tende nikiss kiss shingoni

Kayumba Msela

Related Kayumba Songs