Download | Kayumba Maumivu | Mp3 Audio

kayumba maumivu

Download | Kayumba Maumivu | Mp3 Audio

Related: Kayumba Nichum

Maumivu Lyrics

Kidume ninasukuma ukuta na nguvu yangu Si sawa
Najipa imani nimefika Aaah kumbe mi chawa
Bora nitafute chocholo yangu ya pekee

Vya watu nisijevunjwa mbavu
Nami mnyongeee kushea sio lengo langu
Nisamehe natetea hisia zangu nisipotee

Kayumba Maumivu

Related KAYUMBA Songs