Harmonize Sandakalawe
High-rated Tanzania recording artist and Konde Music WorldWide Boss, Harmonize returns with a new single titled Sandakalawe.
RELATED: Harmonize – Jeshi
In addition, Sandakalawe is probably one of the best Amapiano songs you will hear in 2021, produced by Daxo Chali.
Harmonize Sandakalawe Lyrics.
Wahuni sandakalawe (amina)
Ah mwenye kupata (apate)
Je mwenye kukosa (akose)
Eh kuku gani? (Mweupee)
Ah sandakalawe (amina)
Na mwenye kupata (apate)
Je mwenye kukosa (akose)
Ah kuku gani?
Leo nataka kukuto-, to- kutoa out
Mimi na hamu ya kuto-, to- kutoka na wewe
Jiandae leo na kuto-, to- kutoa out
Mimi na hamu ya kuto-, to- kutoka na wewe, yebooo