Download | B2k Tete | Mp3 Audio

b2k tete

Download | B2k Tete | Mp3 Audio

RELATED: B2k Last Chance

Tete Lyrics

Ile kumekucha tu misere mapema nitoke nihangaike
Na niwaze nilikosa lipi na kipi nirekebishe
Nainua macho juu nimuombe maulana niendapo aniangazie
Nisiwaze nilifanya kipi na lipi nisikumbuke

Shika na kifimbo tekenya isome kwa ndani mama wee
Aah babe tete, unaishi wapi nikuulize
Aah tete, unafanya nini unijuze
Aah babe tete, unaishi wapi nikuulize
Aah tete, unafanya nini unijuze

B2k Tete

OTHER SONGS