Download | Savara Sababisha | Mp3 Audio

Savara Sababisha

Savara Sababisha

RELATED: Savara – Killem Everyday

Noted Lyrics:

Verse 1
Mmmm mmhhh
Mama alisema hii dunia si kifua ni ubongo
Tell your truth Savara jiepushe na uongo
If anybody doubt you my son waonyeshe kisogo
It’s all inside you my son and you don’t know
You just don’t know

Pre-hook
I pour my drink on ice
Kuna vitu mingi zinaninice
Zingine nimehave kuthink twice
Ni nini nataka in life
Lakini lini mtarealize
Nilikataa kucompromise
Ona sasa tunapay the price
Wasitudivide

Listen to Savara Sababisha

DOWNLOAD MP3

You May Like: