Download | Nuh Mziwanda ft AliKiba Jike Shupa | Audio
RELATED: Alikiba – Mshumaa
Nuh Mziwanda Jike Shupa
Kule kukusifia
Mabaya kukufichia
Mbele ya mama, oh baba, oh lala
Mapenzi si ubondia
Najikaza huku nateketea
Bora nijivue, nisijisumbue
Mapenzi si ubondia
Najikaza huku nateketea
Bora nijivue, nisijisumbue
[Chorus – Alikiba]
Sasa basi (sasa basi)
Inatosha, nimekopesha mwili wangu
Bila kuogopa
Kumbe jike shupa (shupa)
Hata kwenye karata haupo
Unaruka kila sehemu umeshapita