Pakua Bongo Flava Mapenzi Mix Inayomshirikisha Rosa Ree Ndani ya Mdundo

Inayomshirikisha Rosa Ree Ndani ya Mdundo

Sote tunadhamiria kuwa na mpenzi na wakati mwingine hatuwezi kujieleza, ila mziki unaweza kuwa kigezo cha kueleza hisi zetu.

Pakua na kusikiliza midundo ya mapenzi kutoka kwa Rosa Ree, Mac Voice, Masauti na wasanii wengine

Download hapa: https://mdundo.com/song/2721747

Subscribe ili kupata DJ Mixes kila siku hapa: https://mdundo.ws/YMBlog

#MdundoMixes #PakuaHapaMdundo #Bongo