Download | Nandy Kivuruge | Audio
Noted Lyrics:
Ulienipa maumivu me kama nyang’au
Na tena maumivu dawa ninywe vidonge
Kwa marafiki mashosti ukannidharau
Ukanitia uvivu stress niwe mnyonge
Oh Oho ulie nipa maumivu me kama nyang’au na tena
Maumivu dawa ninywe vidonge mhh
Kwa marafiki mashosti ukanidharau
Ukanitia uvivu tress niwe mnyonge