Nyimbo Mpya 2025
Unatafuta nyimbo mpya ? Uko mahali sahihi! Hapa tunakuletea nyimbo zote mpya za Bongo Fleva, Singeli, Afrobeat na Gospel – zikiwa katika mfumo wa AUDIO na VIDEO, tayari kwa kupakua bure au kutazama moja kwa moja.
Bongo Fleva 2025
Kila wiki tunasasisha orodha hii kwa nyimbo mpya kutoka kwa wasanii wakubwa Tanzania na Afrika Mashariki kama:
Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Zuchu, Nandy, Marioo, Alikiba na wengine wengi!
Download Nyimbo Mpya 2025 za Wasanii Maarufu
Kwa sasa tunawashuhudia wasanii hawa wakitamba kwenye chati:
-
Diamond Platnumz – Hits mpya kila mwezi
- Alikiba – Mfalme Wa Bongo Flava
- Harmonize – A.K.A Tembo
-
Zuchu – Malkia wa midundo ya kisasa
-
Marioo – Mzuka wa Toto Bad
-
Jay Melody – Ngoma na Melody Kali
Burudani Bila Kikomo Ni kila Siku Tembelea Hapa.
Tovuti yetu imejitolea kuhakikisha unapokea:
Muziki mpya kila wiki
Download rahisi, haraka.