Download | Diamond Platnumz ft Zuchu Mtasubiri | Audio

mtasubiri

Diamond Platnumz ft Zuchu Mtasubiri

RELATED SONG: Zuchu Ft Diamond Platnumz – Litawachoma

Diamond Platnumz Mtasubiri Noted Lyrics: 

Kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari
Eti unanipenda mi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia
Oh unanipenda mimi (mmnh)
Unanitaka pia (mmnh)
Unaniamini (mmnh)
Na umeniridhia

Mnasubiri tuachane
Ooh mtangoja
Mtasubiri sana mtasubiri
Wanasubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubiri
Vuten kiti mkae
Mtasubiri sana mtasubiri

“Listen to Diamond Platnumz ft Zuchu Mtasubiri”

DOWNLOAD Mp3

Download Another Song From Diamond Platnumz: