Bonge La Nyau Ft AliKiba Uaminifu
RELATED: Bonge La Nyau Ft Barnaba – Vais Vesa
Bonge La Nyau Ft AliKiba Uaminifu Lyrics:
linijaza, nami nikajaa
Nikaamini we ndo wangu wa maishaa
Ulinilaza njaa, ili wewe usijekosaa,
Hayo yote we ulijisahaulishaa
Uliniaibishaa, mbele ya marafiki zangu mimi ukawa nao hao hao
Umenidhalilishaa, uaminifu wangu kwa mia percent kwako zero percent
Ukanifanya mimii, mimiii mimii mimii (kwako zero percent)