Alikiba Usiniseme
RELATED: Alikiba Cinderella
Alikiba Usiniseme Lyrics:
Hey (yei ye yee 2x soniyee)
Ye (lolo lololo lilele 3x)
Alike (yolo lilele) baby girl
Msinisemee ah 4x Kwamba anapenda kula
Msinishangae 4x kwamba anapenda kula
Msinitengee 4x Kwamba anapenda kula
(1)
Asi hivi juzi juzi Kulikuwa na shuguli
Utawa birika na simali Kulikuwa na pilau na wali
Basi nami nikajiunga Pale pale kupiga mvunga
Watu wakajipanga Nikaanza kwa tonge na nyama
Related Songs from Alikiba:
- Alikiba Far Away Ft Chidi Benz
- Alikiba Kadogo
- Alikiba Ft Mr Mim Hadithi
- Ommy Dimpoz Ft AliKiba Nai Nai
- Sauti Sol ft Alikiba – Unconditionally Bae