Home Music Promotion

Music Promotion

Music Promotion

FOR ENGLISH PRESS HERE

ZIJUE FAIDA ZA KUWEKA WIMBO WAKO YINGA MEDIA

(i) Mtembeleaji wa site yetu ataweza Kudownload Wimbo wako kwa urahisi Zaidi kwa Kubofya Mara Moja tu. Download Zetu hazina Mlolongo Mrefu Kama Wengine.

(ii) YINGA MEDIA inaingiza watu 6,000,000 +nakuendelea kwa Mwezi Mmoja.. Hivyo basi wimbo wako utaonekana kwa Watembeleaji wengi na Utakaa YINGA MEDIA Kwa Muda Mrefu Zaidi pindi website yetu itakapoendelea kuwa Hewani.

(iii) YINGA MEDIA ina sehemu ya Kushare/Kusambazia Muziki wako kama Facebook , Twitter na Mitandao mingine ya kijamii ambayo unaweza kutumia kwa Kuwasambazia Marafiki Zako.

(iv) Wimbo wako utaonekana Pia Kwenye Mitandao yote ya Kutafutia Vitu Mbalimbali kama Google , Bing, Ask , Yahoo na Mitandao mingine inayotumika Katika Utafutaji Vitu Mtandaoni.

(V) Pia Wimbo wako Utaonekana Katika Ukurasa Wetu wa Facebook ambao Una Zaidi ya Watu 55000 elfu.

TUNAJUA UNAPENDA KUTANGAZA NASI HIVYO BASI FUATA MAELEZO YAFUATAYO.

1: Tuma Wimbo ukiambatanisha Picha (Cover photo) ya Msanii Kupitia Njia Zifuatazo; Zingatia Tuma Picha ambayo tayari imetengenezwa kwa Ubora Zaidi.

(i) Email: yingamedia@yahoo.com

(ii)WhatsApp namba: +254 795 790 408

Kumbuka Kuandika Jina la Msanii na jina la Wimbo pia.

2: Pia Wewe kama Msanii Utaweza Kulipia Ksh.932 au Tsh. 20000/= (Elfu Ishirini tu) kwa Audio moja. Na kama ni Audio + Video utalipia Ksh.1398 au  Tsh. 30000/= (Elfu Thelathini tu) na Kwa Video Peke yake ni Ksh.1165 au Tsh. 25000/= (Elfu ishirini na Tano tu)

3: Njia Za Malipo:

 

(ii) PayPal: info@knowcurrent.com

Baada ya Kufanya Hivyo Vyote Hapo Juu Tutumie Ujumbe Mfupi Kupitia ) WhatsApp: +254 795 790 408

WIMBO WAKO UTAKUWA TAYARI KWENYE WEBSITE YETU NDANI YA MASAA 24.

    (Timiza Ndoto ya Kuwa Star na Yingamedia.com)