Download new released | Mbosso Alele | Mp3 Audio
RELATED: Mbosso – Watakubali
Alele Lyrics:
Wajua wewe, penzi tubane na pini
Iwe siri yetu wenyewe,
Mhindi wa kusini
Mwenye mapenzi tele
Kibiti hakuna madini
Tukawinnde tetele
Shuka kifuani baby
Naomba nipate supu
Ya nyama laini
Kama mapupu
Yale ya gizani baby
Nje tusiyaruhusu
Kwa majirani
Wambea wakina rufufu
Mhhh aah (alelele)
Inzi wangu kidonda ning’ong’ozoe
(Alelele)
Mhhh aah (alelele)
Moyo wangu udongo ubongonyoe
(Alelele)