Matokeo Kidato cha sita 2025/2026
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) mwaka 2025/2026. Wanafunzi wote waliomaliza Kidato cha Sita mwaka huu sasa wanaweza kuangalia matokeo yao moja kwa moja mtandaoni kupitia tovuti rasmi ya NECTA au kwa kutumia link tulizoweka hapa chini.
BONYEZA HAPA KUTAZAMA MATOKEO
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2025
Fuata hatua hizi kuangalia matokeo yako:
- Tembelea tovuti ya NECTA kupitia link hii ==== https://matokeo.necta.go.tz/
- Chagua sehemu ya “ACSEE Results 2025”
- Tafuta jina la shule yako au namba yako ya mtihani (Candidate Number)
- Bonyeza jina la shule au jina lako kuangalia matokeo


