Jinsi Ya Kupunguza Matiti Na Kusimamisha Saa 6

kupunguza matiti na kusimamisha

Kupunguza Matiti Na Kusimamisha

Kuna sababu kadhaa za kulegea kwa matiti yako kama vile kunyonyesha, lishe duni, magonjwa, kuvaa sidiria isiyofaa, kukoma hedhi nk. Siku hizi kuna njia kadhaa za kusimamisha matiti ikiwemo upasuaji ambao ni ghari sana na ina madhara.

Yanini sasa upate madhara na kugharamia bei kubwa wakati kuna njia za asili unazoweza kuzitumia nyumbani kwako kusimamisha matiti.

RELATED: Uhakika Njia 6 Jinsi Ya Kupunguza Tumbo au Kitambi

Hebu na tuzichunguze baadhi ya mbinu za nyumbani za Kupunguza Matiti Na Kusimamisha ili uanze leo kurejesha urembo wako wa asili.

1: Gel ya Aloe Vera au Mafuta ya Mlozi yaani almond.

Kufanya Masaji na aloe vera kutahakikisha kuwa gel ya aloe vera inapenya ndani ya ngozi na kuifanya ngozi kukaza. Masaaji pia huimarisha misuli ambayo inasimamisha matiti.

2: Lishe kwa ajili ya kusimamisha matiti

Misuli itakaza na kuwa imara ikiwa utatimiza mahitaji ya protini ya misuli. Pia inahitaji virutubisho muhimu kama vitamini, kalsiamu na madini. Unaweza kupata yote haya katika nyanya, kabichi, kimea, brokoli, karoti, nyama nk. Lakini pamoja na hii, unahitaji kupunguza unywaji wa kafeini inayopatikana kwenye kahawa na energy na kuacha kuvuta sigara.

3: Tango na Yai

Imeonekana kuwa tango inaweza kufanya ngozi kuwa imara. Hii ndio sababu hutumiwa kama mask ya uso katika matibabu ya urembo. Yai linajumuisha madini na virutubisho vingi.

Hivyo tumia mchanganyiko wa tango na yai kwenye matiti na karibu nayo kila siku. Acha mchanganyiko ukae angalau nusu saa baada ya hapo, safisha kwa maji ya baridi. Utakapojitazama ndani ya wiki moja, utaona mabadiliko.

4: Mafuta ya Mzeituni Ama Olive Oil

Haya ni moja ya mafuta bora yanayopatikana kokote duniani, na yanafahamika zaidi kama mafuta matakatifu. Pia tafiti zimeonesha ya kuwa mafuta ya mzeituni yanaweza kuimarisha ngozi na kufanya iwe imara. Kwa hiyo, masaaji matiti yako na mafuta ya mzeituni kila siku na utaona maboresho ndani ya siku chache.

5: Kuogelea

Kitendo cha kuogoelea nusu saa ndani ya bwawa mara kwa mara inaweza kufanya matiti yako yasimame kama hakuna kitu kingine. Kuogelea kunaimarisha misuli inayosaidia kushikilia matiti yako. Jiwekee ratiba ya kufanya mazoezi ya kuogelea mara kwa mara.

#Kupunguza Matiti Na Kusimamisha # Kupunguza Matiti Na Kusimamisha # Kupunguza Matiti Na Kusimamisha # Kupunguza Matiti Na Kusimamisha # Kupunguza Matiti Na Kusimamisha #Kupunguza Matiti Na Kusimamisha.