Download | Harmonize Nishachoka | Mp3 Audio
RELATED: Harmonize Sina
Noted Lyrics:
Tena naandika huu wimbo usijpe moyo labda nakufikiria
Nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunifatilia
Naandika huu wimbo usijipe moyo labda nakuwaza sana
Nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunilili (eeh)
Nishachoka, nishachoka
Nishachoka wacha ukweli nikwambie
Yani kukicha vijembe (nishachoka)
Dharau maneno (nishachoka)
Oooh masimango (nishachoka)
Wacha ukweli nikwambie
Nimechoshwa nawe