Download | Harmonize Ft Korede Bello Shulala | Mp3 Audio
RELATED: Harmonize Kidonda Changu
Noted Lyrics:
Kwanza upendo Baraka
Nikuchunge Nitajisumbua
We jichunge tu mwenyewe
Mmh
Nasikufunzwa taraka
Mangapi ulinikosea ila bado nipo nawe
Mmh
Ata waniite zoba waseme umeniroga
Kukuacha ndio siwezi nimeridhia
Ila she is my number moja wengine watangoja
Ah niongezee mapenzi niizidi kolea
Pale nnapokuona shulalala shula
Yarabi moyo shulalala shulaa
Eh pale nnapo kusikia shulala shula
Shula wangu shulalalashula