VIDEO: Rose Muhando – Yesu Karibu Kwangu 5 years agoby Yinga Boy Kwa mara ya kwanza kutoka Tanzania malkia wa nyimbo za Injili Afrika Mashariki na kati Rose Muhando ameachia video mpya ya wimbo wake unaoitwa Yesu Karibu Kwangu. Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa, Amen. WATCH VIDEO ?