Download | Christ Ambassadors Choir Kwetu Pazuri | Mp3 Audio

Christ Ambassadors Choir Kwetu Pazuri

Download | Christ Ambassadors Choir Kwetu Pazuri | Audio

RELATED: Msanii Music Group – Asubuhi Njema

Noted lyrics:

Ninayo hamu kurudi nyumbani
Nyumbani kwetu ambapo hatutatengana
Hapo nyumbani kwetu hakuna makaburi
Wala hakuna vyandarua maana hakuna malaria
Kwetu ni pazuri ni pazuri nakuambia
Najua nawe ndugu yangu unayo hamu ya kufika huko

Kwetu pazuri nimeshapakumbuka
Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu
Kwa amani na furaha tena ya ajabu
Sipati picha kwa watakaofika
kwetu mbinguni

Christ Ambassadors Choir Kwetu Pazuri