Download | Bony Mwaitege Mke Mwema | Mp3 Audio

mke mwema

Download | Bony Mwaitege Mke Mwema | Mp3 Audio

RELATED: Bony Mwaitege Utanitambuaje

Mke Mwema Lyrics:

Hapo mwanzo Mungu alimwumba adam
Bustani ya edeni aitunze
Baadae Mungu aliona sio vyema
Adam awe pekeyake akampa mke mwema
Apo mwanzoo (ooooooh)

mke mweema
(Mke mwema)anatoka kwa bwana
(Aaaaah)nimemwomba Mungu nangojea
(Mke mwemaa)mke mweema
(Mke mwema)anatoka kwa bwana
(Haleluya)nimemwomba Mungu nangojea mke mwema aah

Bony Mwaitege Mke Mwema

More From Bony mwaitege: