DJ Chik – Hot Time at Crown FM
DJ Chik anarudi na mixtape kali Hot Time at Crown FM (Hyped Playlist), iliyobeba vibe ya juu na energy nonstop kuanzia mwanzo hadi mwisho. Mix hii imejaa nyimbo moto pamoja na transitions safi zinazokupa burudani ya uhakika.
RELATED: Dj Facebook Singeli Misemo Mix
Ni playlist perfect kwa chill, safari au party. Kama unatafuta mix ya kukuweka kwenye mood sahihi, hii ni chaguo sahihi kabisa .
Recommended Mix:



