Dayoo Umebadilika

Dayoo Umebadilika

Dayoo Umebadilika

Tanzanian musician, Dayoo has released a new audio love bongo music song titled “Umebadilika”.

Produced by Mafeeling.

RELATED: Dayoo Utalala

Umebadilika Lyrics:

Kwanza nimechoka sana
Na zako kelele mi nalala bwana
Maana unaongea sana
Kila siku huishi lawama
Ina maana ninanyoongea hayana mana
Haya ndo matatizo yako mama

Au mwenzangu umeshapata kabwana
Wenda ndio kanakuchanganya
Umebadilika sana aah
Tofauti na nyuma aah
Umebadilika sana aah
Tofauti na nyuma aah

Listen to Dayoo Umebadilika

DOWNLOAD MP3

Download All Dayoo Songs: