Download | Bonge La Nyau Ft AliKiba Uaminifu | Mp3 Audio

Bonge La Nyau Ft AliKiba

Bonge La Nyau Ft AliKiba Uaminifu

RELATED: Bonge La Nyau Ft Barnaba – Vais Vesa

Bonge La Nyau Ft AliKiba  Uaminifu Lyrics:

linijaza, nami nikajaa
Nikaamini we ndo wangu wa maishaa
Ulinilaza njaa, ili wewe usijekosaa,
Hayo yote we ulijisahaulishaa

Uliniaibishaa, mbele ya marafiki zangu mimi ukawa nao hao hao
Umenidhalilishaa, uaminifu wangu kwa mia percent kwako zero percent
Ukanifanya mimii, mimiii mimii mimii (kwako zero percent)
Ukanifanya mimii, mimiii, mimii mimii (kwako zero percent)

DOWNLOAD MP3

Another Related Songs: